Jumanne, 19 Machi 2013

PICHAYA LEO; WAFUASI WA CHADEMA WAKIONESHA ISHARA YAO YA UMOJA NDANI YA MAHAKAMA YA KISUTU JANA WAKATI WAKIMSALIMIA WILFRED RWAKATARE NA LUDOVICK KABLA YA KUPANDISHWA KIZIMBANI.


Wanachama na mashabiki wa Chadema wakionesha alama ya vidole viwili kabla ya kesi kuanza jana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni