
Mmoja wa wasanii chipukizi kutoka mjini Morogoro akiimba jukwaani.

Wadau mbalimbali wa tamasha la Fiesta wakifuatilia burudani mbalimbali zikiendelea hivi sasa jukwaani.

Morogoro kuna vijana wengi wenye vipaji,ambao kiukweli wameonesha vilivyo kwenye jukwaa la Fiesta 2012 usiku huu.

Wadau wa tamasha la Serengeti Fiesta ndani ya uwanja wa Jamhuri usiku huu. Mujuni Silivery anaonekana akijitokeza kwa staili ya nyani.

Ni burrudani tu ndani ya muonekano mpya wa tamasha la serengeti fiesta 2012. Aliyesimama ni Jerry Murro.


Michael Jackson wa Morogoro akionesha umahiri wake kucheza nyimbo za The Wacko Jacko.


Mmoja wa wasanii chipukizi kutoka mjini Morogoro akitumbuiza usiku huu kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2012

Msanii chipukizi kutoka nyumba ya vipaji,THT,Alini Nipishe akiimba na shabiki wake jukwaani usiku huu wakati tamasha la Serengeti Fiesta 2012 likiendelea.


Wakazi wa Morogoro wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Jamhuri,ambako ndiko tamasha la Serengeti Fiesta 2012 likiendelea hivi sasa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni