Mtuhumiwa wa kuunganisha umeme kinyemela (KISHOKA)kwenye majengo ya kariakoo jijini Dar es salaa leo ambaye jina lake halikufahamika akishikiliwa na askari wa jeshi la polisi baada ya Shirika la umeme Tanesco kuendesha operesheni ya kukamata wanaoiba umeme kwenye mkoa wa Dar es salaam manispaa ya Ilala
Fundi kutokaShirika la kuzalisha umeme Tanesco Bi.Fadha Wiliamu akiangalia mita zilizounganishwa kwa njia ya wizi katika majengo hayo


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni