Jumanne, 31 Mei 2011

KITURURU KANIKUMBUSHA MBALI SANA KWANI KUNA WANAOWAKIMBIA WENZAO MAMBO YAO YAKIWA MAZURI HATA KAMA MLIKUWA PAMOJA WALIPOKUWA NA MATATIZO. WEWE HUKUWAKIMBIA LAKINI WAO,.....................MMMMHHH!!!!!!! AKUNYIMAE KUNDE!?...........................


UJANJA kwa WENGINE ni ule wa KUKUKIMBIA wakistukia UMEKWAMA.

Na kitu kizuri ni kwamba,...
....

Swali:
  • SI unajua hapa DUNIANI hakuna akwamaye kwa kuwa  hata nukta ni MWANZO wa sentensi NYINGINE,...
...hasa ukiamua  kutokwamishwa na NUKTA?

Ndio,...
..... akukimbiaye,...
.... huyo kakupunguzia MZIGO.:-(
Swali:
  • AU?

Ni wazo tu hilli BINGWA!:-(

Jumapili, 29 Mei 2011

PICHA YA LEO; ANAITWA NAFISSATOU DIALLO, NI KILE KIFAA KAMA UNAVYOKIONA AMBACHO IMANI ILIMSHINDA STRAUSS-KAHN AKATAKA KUBAKA.

 


Dada ana mtoto mmoja wa miaka tisa, lakini bado anang'aa, raia wa Guinea aliyeamia Marekani. Pole kwa dhahma iliyokukumba, usimfunge Kahn ila akulipe fidia tu kwani hakufanikisha alichokitaka. Msamehe.