Uvamizi huo ulitokea asubuhi ya leo na kufanikiwa kumjeruhi askari na mtu mmoja aliyekuwa akihusika na ukusanyaji wa fedha katika vitengo hivyo Imedaiwa leo wakusanyaji mapato hospitalini hapo walianza kukusanya mapato ya hospitalini hapo na ghafla walipofika eneo hilo walivamiwa na majambazi hayo na kufanikiwa kupora fedha | ||
KARIBU KATIKA BLOGU HII YA KUELIMISHA, KUBURUDISHA NA KUONYA KUPITIA MADA MBALIMBALI NA HATA PICHA. ONGEZA MAHUSIANO KWA KUJUMUIKA NA WENZIO HAPA.UNAWEZA TUMA PICHA NA MAELEZO KWA ANUANI HII;mkuu74@gmail.com
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo MAJAMBAZI. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo MAJAMBAZI. Onyesha machapisho yote
Jumatatu, 13 Juni 2011
MAJAMBAZI YAVAMIA HOSPITALI YA MUHIMBILI NA KUPORA FEDHA.
Alhamisi, 26 Mei 2011
HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE TOKA IRINGA ZINASEMA MAJAMBAZI YATEKA MAGARI MLIMA KITONGA USIKU WA JANA KUAMKIA LEO.
Magari yakipanda mlima Kitonga.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)



