
KARIBU KATIKA BLOGU HII YA KUELIMISHA, KUBURUDISHA NA KUONYA KUPITIA MADA MBALIMBALI NA HATA PICHA. ONGEZA MAHUSIANO KWA KUJUMUIKA NA WENZIO HAPA.UNAWEZA TUMA PICHA NA MAELEZO KWA ANUANI HII;mkuu74@gmail.com
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo BREAKING NEWS. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo BREAKING NEWS. Onyesha machapisho yote
Ijumaa, 25 Julai 2014
Jumatatu, 17 Juni 2013
UCHAGUZI MDOGO LINDI. CCM YASHINDA KITI CHA UDIWANI KATA YA STESHENI WILAYANI NACHINGWEA.
Mwenyekiti wa CCM Taifa wa sasa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Marehemu Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere enzi hizokatika moja ya mikutano ya Chama
.
Chama cha Mapinduzi jana kimetangazwa kuwa mshindi wa kiti cha Udiwani wa Kata ya Stesheni wilayani Nachingwea mkoani Lindi katika Uchaguzi uliofanyika jana jumapili baada ya mgombea wake kupata kura 806, akifuatiwa na mgombea wa CUF 480, CHADEMA 327 na Chama kipya cha ADC kiliambulia kura 48. CCM imeweza kutetea kiti hiki baada ya aliyekuwa Diwani Bi. Mpoyo kufariki ghafla mwaka jana..
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)