.
Jiji la London limeonekana kuwa na magari mengi ya gharama kubwa kama vile Lamborghini, Ferraris, Bugattis na Mercedes wakati huu ambapo Matajiri kutoka Qatar, Saudia, Imarati, Iran na Quwait wanapozuru London kwa wingi kipindi ambacho hali ya hewa ya Mashariki ya Kati ni miezi ya joto kali. Idadi kubwa ya magari haya ya kifahari inawaogofya baadhi ya wenyeji wa jiji hili kwa vile uvunjaji wa sheria za uegeshaji magari na uendeshaji wa hatari huwa mkubwa.
Gari iliyosajiliwa Dubai aina ya Buggatti ikiwa imevunja sheria kwa kukanyaga mistari miwili ya njano ambayo ni kinyume na sheria ya uegeshaji.
Ferrari 458 na Lamborgini toka Qatar.
Gari tairi sita aina ya Mercedes G63 AMG.
Inaonekana Matajiri hawa na watotot wao wanashindana ni yupi ana model ya gharama na inayovutia, angalia gari hii aina ya Maserati Gran Turismo ya boneti ya silva.
Bugatti Veyron ya dhahabu na nyeusi ilisababisha watu wengi wasimame kuiangalia.-
Range Rover - Inakadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya Paundi £150,000 ilivutia watu wengi pia kuiangalia.
.'
Rolls Royce
Hata magari modeli za zamani yalikuwepo ikiwamo hii Nissan 240 GL ilikutwa mtaa wa Sloane jana.
Lamborghini Huracan
Pagani Huayra toka Saudi Arabia.
Pink-tinged Rolls Royce toka Saud Arabia.
Mercedes AMG ya Tajiri toka Qatar.r is subject to the same laws.'
Gari likifuatwa na askari na polisi kwa kuvunja sheria za uegeshaji.
Maserati Gran Turismo, Audi R8 and Lamborghini Aventador.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni