Picha za Rais Magufuli akielekea kutangaza baraza la mawaziri leo
Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ametangaza baraza la mawaziri December 10 2015 ambapo hata hivyo hajamaliza kutaja mawaziri wengine akisema anaangalia ni nani wa kumuweka kwenye hizo wizara zilizobaki
Picha zote ni kutoka Ikulu.