Jumanne, 21 Desemba 2010

Hapa ni makutano ya barabara ya Msimbazi na Uhuru pale Kariakoo wakati wa usiku. Wakati huu kwa wasiojua ni kwamba ni kituo kikuu cha daladala kwa njia zote hasa kuanzia saa 3.00 usiku. Biashara ndogondogo za Wamachinga huendelea kama kawaida.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni