Jumatatu, 27 Desemba 2010

MDAU WENU WA BLOGU LEO YUPO MTWARA, TUMWOMBEE SAFARI NJEMA ILI AWEZE KUTULETEA VITU VIPYA VYA HUKO KUSINI. ALAMSIKI. NYAMWAGE HADI SOMANGA HALI BADO NI TETE INGAWA MVUA HAIJANYESHA, VUMBI LA KUMWAGA, FULL MAFUA.

Jumanne, 21 Desemba 2010

Hapa ni makutano ya barabara ya Msimbazi na Uhuru pale Kariakoo wakati wa usiku. Wakati huu kwa wasiojua ni kwamba ni kituo kikuu cha daladala kwa njia zote hasa kuanzia saa 3.00 usiku. Biashara ndogondogo za Wamachinga huendelea kama kawaida.

KARIBUNI SANA

NDUGU WAPENDWA MNAKARIBISHWA SANA KATIKA GLOBU HII MPYA.
UNAWEZA KUTUMA PICHA NA MAONI MBALIMBALI Z
YENYE MAHUDHUI TOFAUTI
YENYE NIA YA KUELIMISHA, KUBURUDISHA NA KUONYA JAMII. GLOBU HII NI YA KITANZANIA, MILA NA DESTURI ZETU ZITAZINGATIWA.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.