Alhamisi, 7 Agosti 2014

Jumanne, 5 Agosti 2014

MAGARI YA KIFAHARI NA BEI KUBWA YANAYOMILIKIWA NA MATAJIRI WA MAFUTA WA NCHI ZA ARABUNI YAMEENEA KATIKA MITAA YA KNIGHTSBRIDGE NA KENSINGTON JIJINI LONDON UINGEREZA, WATU WENGI WAYASHANGAA SANA.


Jiji la London limeonekana kuwa na magari mengi ya gharama kubwa kama vile Lamborghini, Ferraris, Bugattis na Mercedes wakati huu ambapo Matajiri kutoka Qatar, Saudia, Imarati, Iran na Quwait wanapozuru London kwa wingi kipindi ambacho hali ya hewa ya Mashariki ya Kati ni miezi ya joto kali. Idadi kubwa ya magari haya ya kifahari inawaogofya baadhi ya wenyeji wa jiji hili kwa vile uvunjaji wa sheria za uegeshaji magari  na uendeshaji wa hatari huwa mkubwa.
A queue of extravagant vehicles were parked around Harrods yesterday including a six-wheeled Mercedes G63 AMG, a Pagani Huayra and a Rolls Royce (left to right)

Gari iliyosajiliwa Dubai aina ya Buggatti ikiwa imevunja sheria kwa kukanyaga mistari miwili ya njano ambayo ni kinyume na sheria ya uegeshaji.

 Ferrari 458 na Lamborgini toka Qatar.

Gari tairi sita aina ya Mercedes G63 AMG.
The cars owners appear to compete with each other to see who can carry out the most outlandish modifications, with this Maserati Gran Turismo give a silver bonnet
Inaonekana Matajiri hawa na watotot wao wanashindana  ni yupi ana model ya gharama na inayovutia, angalia gari hii aina ya Maserati Gran Turismo ya boneti ya silva.

A gold and black Saudi-owned Bugatti Veyron - which can sell for up to £1million - was parked in a street in Kensington yesterday, causing many to stop and take photos
Bugatti Veyron ya dhahabu na nyeusi ilisababisha watu wengi wasimame kuiangalia.- 
This heavily-modified gold Range Rover - estimated to be worth more than £150,000 - has attracted attention after its owner parked it outside the Wellesley hotel
Range Rover - Inakadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya Paundi £150,000 ilivutia watu wengi pia kuiangalia.
.'
The limited edition Mercedes - which have a starting price of £370,000 - were originally engineered for the Australian Army but have become popular with Arabs as they are one of the few vehicles which can be driven safely off-road through the desert dunes

A blue and white Saudi-owned Rolls Royce attracts attention of pedestrians after its owner parked it outside the bay in Knightsbridge, west London yesterday
Rolls Royce
It's not just modern sportscars that are being brought over, this classic UAE registered Nissan 240 GL was spotted on London's Sloane Street yesterday
Hata magari modeli za zamani yalikuwepo ikiwamo hii  Nissan 240 GL ilikutwa mtaa wa Sloane jana.
As word got around that London's richest tourists were showing off their cars near Harrods yesterday, this yellow Lamborghini Huracan were soon seen driving past
Lamborghini Huracan 

A Saudi-registered Pagani Huayra, which has a starting price of around £1million, was spotted parked next to an expensive hotel in the area
 Pagani Huayra toka Saudi Arabia.
A pink-tinged Rolls Royce with Saudi number plate was seen driving through west London yesterday as part of the now-annual influx of Arab-owned cars
Pink-tinged Rolls Royce toka Saud Arabia.
A Qatari millionaire has brought this yellow Mercedes AMG with him for his holiday in Britain and parked the machine outside Harrods yesterday
Mercedes AMG ya Tajiri toka Qatar.r is subject to the same laws.'
A policeman approaches a modified black and gold Range Rover, registered in Saudi Arabia, amid locals' concerns about breaches of parking rules and road safety
Gari likifuatwa na askari na polisi kwa kuvunja sheria za uegeshaji.
The expensive machines have been spotted in a full range of colours, with this matt bright green Mercedes parked on Chelsea's Sloane Street yesterday

A Qatari-owned Lamborghini Aventador parks up next to the a Bugatti Veyron as Arab playboys compare their sportscars outside Harrods yesterday

The streets of Knightsbridge are packed with sports cars, including these Maserati Gran Turismo, Audi R8 and Lamborghini Aventador, as Arabs flock to London
Maserati Gran Turismo, Audi R8 and Lamborghini Aventador.

FAHAMU UGONJWA WA EBOLA NA CHANZO KAMILI CHA VIRUSI VYA UGONJWA HUO NA NAMNA YA KUCHUKUA TAHADHALI.


Ebola ni ugonjwa wa hatari unaosababishwa na virusi vijulikanavyo
kwa lugha ya kitaalamu “Ebola Virus”. ugonjwa wa damu kutoganda.
Ugonjwa huu ni miongoni mwa magonjwa yajulikanayo kwa ujumla kama Homa za Virusi zinaazosababisha kutokwa na Damu mwilini,(Viral Haemorrhagic Fevers) Chanzo kamili cha virusi vya ugonjwa
huu hakijulikani. Katika orodha ya watu 10 waliopata kirusi cha Ebola, basi wastani kati ya watano au tisa hufa.
 
 
 Hali inayosababisha mlipuko wake pia haijulikani.Ugonjwa huu pia hauna tiba wala chanjo.Hata dawa za jadi hazijathibitika kutibu ugonjwa huu.
Dalili za Ebola
Pale watu wanapopata Ebola, dalili zake za kwanza ni kuonekana kama magonjwa mengine
Dalili za ugonjwa huu ni:-
Homa kali, inayoambatana na kutokwa damu katika matundu yote ya mwili kama pua, njia ya haja kubwa na dogo, mdomoni, masikioni, machoni n.k.
· Kutapika damu
· Kuharisha damu
· Fizi kuvuja damu
· Kutokwa na damu na kuvujia chini ya ngozi. Kwasababu ya kutokwa na damu sehemu za haja kubwa na ndogo, choo na mkojo pia vitaonekanakuwa na damu.

Kuenea kwa Ebola.
Ugonjwa huu unaenea kwa urahisi sana na haraka kutoka mtu mmoja hadi mtu mwingine kupita njia mbali mbali.
Njia hizi ni:-
· Kuingia mwilini au kugusana na:-
· Mate
· Damu
· Mkojo
· Machozi
· Kamasi
majimaji mengine ya mwili, ikiwa ni pamoja na jasho. kugusa mtu aliyekufa kwa ugojnwa wa Ebola kushika/kugusana na wanyama jamii ya nyani. · Kuchomwa na sindano au vifaa ambavyo havikutakaswa Ugonjwa huu pia huambukizwa kwa njia ya
kujamiiana. kugusa taka ngumu au maji taka yaliyotokana
na kumhudumia mgonjwa Ebola.
Athari za ebola
· Unasambaa kwa haraka sana Unasababisha vifo vingi kwa muda mfupi · Jamii huingiwa na hofu na wasi wasi na kushindwa kufanya shughuli zao za kawaida ni gharama kuwahudumia/kutibu wagonjwa. · Mipaka inaweza kufungwa na watu wakashindwa kusafiri kutoka eneo/nchi moja hadi nyingine.
Tiba ya Ebola
Hakuna tiba maalumu ya homa ya Ebola. Lakini ikiwa watu  wanapata huduma bora kutoka kwa madaktari na wauguzi, wengi wao huishi.
 
 
Kinga ya Ebola
Ugonjwa wa Ebola unaweza kuzuilika.Ni muhimu kwa kila mmoja kuwajibika Njia kuu za kujikinga na ugonjwa huu:-

 Kuepuka kugusa au kuingiwa na mate, damu, mkojo, jasho, kinyesi, machozi na maji maji mengine yanayotoka mwilini mwa
mwenye dalili za ugonjwa wa Ebola. Kwa kuwa ugonjwa huu pia huambukizwa kwa njia ya kujamiiana, epuka kuwa na
mpenzi zaidi ya mmoja.

 Kutoa taarifa mapema kwa viongozi wa serikali na wa huduma za Afya katika ngazi zote pale anapotokea mtu mwenye dalili za
Ebola
uwahi katika vituo vya huduma za Afya pale mtu anapoona dalili za ugonjwa huu. Wananchi wana tahadharishwa kuepuka
kushughulikia maiti ya mtu aliyekufa kwa Ebola;badala yake watoe taarifa kwa uongozi wa kituo cha huduma za Afya kwa ushauri.
ufanya ufatiliaji madhubuti wa ugonjwa huu. Wananchi waepuke mila na desturi zinazoweza kuchelewesha kupata huduma
muhimu na kuzidi kueneza ugonjwa wa Ebola
Wagonjwa wa Ebola hutengenishwa na wagonjwa wengine ili
wasipate kuambukizwa.

Zingatia usafi wa mwili na tabia.

KUMBUKA
Ugonjwa wa Ebola ni hatari sana. Unasambaa haraka na unasababisha Madhara na vifo vingi. Epukana nao.
http://www.manyandahealthy.blogspot.com