Jumapili, 27 Februari 2011

MSETUO MAALUM

 Shemeji wa ukweli
 Bwawa la Maini Original(Liverpool fan)
 Mtoto kapotea, mina wa Kigogo Mapera
Jamaa kadondosha dish la watu,mawasiliano yote yamekatika,aliahidi kutengeneza na tayari linafanya kazi.

Jumamosi, 12 Februari 2011

BODABODA

Huyu jamaa alikutwa maeneo ya Kigogo Mbuyuni round about akiendesha pikipiki yake huku amepakia mikate mingi inayomzuia kuona nyuma kitu ambacho ni hatari kwa usalama wake akiwa barabarani.